Sambaza

Ariana Grande asitisha show yake baada ya kupatwa na gonjwa la ajabu

Kupitia moja chapisho lake kwenye mtandao wa kijamii msanii Ariana Grande ameelezea namna ambayo amekuwa akipambana na ugonjwa wa ajabu ambao umekuwa ukiathiri mfumo wake wa upumuaji wakati akiwa  jukwaani anapafomu

Wakati alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa huo unaojulikana kama Sinus, Grande alitangaza kusitisha shoo yake ambayo ilipangwa kufanyika siku ya jana Jumapili huko Lexington, KY.

Aliongeza kwa kusema kuwa ugonjwa huo umekuwa ukimsababishia maumivu kwa wiki tatu sasa, Imekuwa ngumu kwake kupumua vizuri.” hali iliyompelekea kutundikiwa dripu na kuwa chini ya uangalizi wa Daktari.  Anasema alipoamka siku ya Jumapili asubuhi alijihisi kuumwa mara kumi zaidi hivyo akawa hana chaguo zaidi ya kusitisha shoo hiyo.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey