Wizkid amzawadia Meneja wake saa ya mkononi yenye thamani ya Milioni 460
Superstar Wizkid amemzawadia Meneja wake Sunday Are (@sunday.are) saa ya mkononi aina ya ‘Richard Millie Luxury Watch’ yenye thamani ya $200,000 sawa na TZS Milioni 460 kama zawadi ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa meneja huyo.
Kulingana na Wizkid ambapo alitoa zawadi hiyo kwa meneja wake binafsi, alisema kuwa Sunday anastahili zaidi ya zawadi hiyo kutokana na bidii yake ya kazi.
Toa Maoni Yako Hapa