Sambaza

Ukweli wote kuhusu Jux na Ruby kutoka kimapenzi.’ Jux afunguka

Mwimbaji wa Bongo Fleva, Juma Jux akifanya mahojiano na kipindi cha Bongo 255 kinachoruka kupitia kutoka +255 Global Radio.

MSANII wa Bongo Fleva, Juma Massa maarufu kama Jux, leo Novemba 11, 2019 amefanya mahojiano na kipindi cha Bongo 255 kinachoruka kupitia kutoka +255 Global Radio kuanzia Jumatatu mpaka Ijumaa kuanzia saa nane mchana mpaka saa kumi jioni.

…Mahojiano yakiendelea.

Akifanya mahojiano katika kipindi hicho ameongelea ishu yake na msanii wa Bongo Fleva, Ruby ameyasema haya;-

“Nimeona, nimesikia sababu kilikuwa ni kitu ambacho kinaenda viral sana, kiukweli sikutaka kufanya chochote, nilitaka kuona sababu ni nini na kwa nini inatokea hivi; ila mtu kama Ruby ni msanii ambaye sikuwahi hata kuwa naye katika mazoea, ila ni mtu ninayemfahamu toka hata kabla hajatoka, nilimkuta kwa Bob mara ya kwanza alikuwa anaimba wimbo wangu wa sisikii,”.

 

…..Jux akisisitiza jambo

“Nilimwambia napenda anavyoimba, Sijawahi kuwa na mahusiano na Ruby. Nilitamani kumshirikisha katika kazi yangu kutokana na sauti yake, Ruby she’s the talented artist, tulimalizana kwenye kazi tu. There is nothing,” Alisema Jux

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey