Baada ya kupiga mtu ASAP Rocky aruhusiwa kuingia Sweden
ASAP Rocky kurejea nchini Sweden mwezi ujao baada ya kumalizika kwa kesi yake ya kumshambulia mtu Julai mwaka huu.
Rocky ametajwa kutumbuiza mjini Stockholm katika kongamano la Ericsson Globe ambapo wasanii wa nchi hiyo watatumbuiza pia. Sasa Rapper huyo wa Marekani ametangaza kutoa sehemu ya mapato yake kwa wafungwa na tume ya mabadiliko ya sheria za magereza.
Kuongezea, Rocky ame-design mavazi mapya na sare za wafungwa wa gereza ambalo alifungwa nchini Sweden.
Toa Maoni Yako Hapa