Sambaza

BURNA BOY ATAJWA KUWANIA TUZO YA GRAMMY’s

Ni Headlines za msanii wa Nigeria Burna BOY ambae anazidi kung’ara kila kukicha sasa time hii ametajwa kuwania tuzo ya Grammy’s kipengele cha Best World Music Album kupitia album yake “African Giant” iliyotoka Julai 26, 2019.


Mwafrika mwingine ambaye ametajwa kuwania tuzo hizo za 62 ni mchekeshaji Trevor Noah wa Afrika Kusini ambaye anawania kipengele cha Best Comedy Album.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey