Magix Enga ampa siku mbili Harmonize aombe msamaha lasivyo anaifuta na Audio ya wimbo ‘UNO’
Muandaaji wa muziki nchini Kenya, Magix Enga aliyepelekea video ya wimbo wa Harmonize UNO kufutwa Youtube alalamika kuendelea kuona Audio bado iko Youtube, atoa siku mbili kwa Harmonize kufuta audio hiyo au kumuomba msamaha kabla hajaifuta na Audio ya wimbo huo.
Akiongea katika kipindi cha Mseto Magix Enga amefunguka haya:-
Toa Maoni Yako Hapa