Sambaza

Chriss Brown na Ammika Harris wapata mtoto wa Kiume

Chris Brown na Ammika Harris wameripotiwa kupata mtoto wa Kiume, mtandao wa HipHop-n-More umethibitisha hili.

Hii ni kutokana na picha zilizowekwa kwenye mtandao wa instagram na  Chris Brown  ikimuonesha akiwa ameinama huku ikiambatana na caption isemayo ” 11-20-2019″ ikitajwa kama tarehe ya kuzaliwa mtoto wake huyo wa Pili.

 

Pia baadaye aliongeza picha nyingine akiwa amevaa hood lililoandikwa “BORN” kwa maana ya kuzaliwa.

 

 

Kwa upande wa Ammika Harris yeye aliweka ujumbe mzuri kwenye insta stories yake akisema “Nilizama penzini, kwa mara ya kwanza tu nilipokuona.”

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey