Sambaza

MAGIX ENGA SASA KUMVAA OLAMIDE KWA KU’SAMPLE BEAT YAKE

PRODUCER Magix Enga aliyepelekea wimbo wa UNO wa msanii Harmonize kufutwa YouTube baada ya kudai kwamba Harmonize wali’sample beat ya wimbo aliyoutayarisha, Leo mtayarishaji huyo amekuja na hii, Safari hii amvaa msanii kutoka Nigeria Olamide kwa madai kuwa amesample vionjo vya muziki na kuviweka katika wimbo wake wa “Motigbana.”
.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Magix Enga ameandika “Olamide Pia Nakupa 1 Week ?? My Project file is 2 years old your song is 1 year on YouTube
Otherwise you can call and explain by the end of this week”

Huu hapa ni wimbo wa msanii Olamide Motigbana unaodaiwa kuwa ndani yake kuna vionjo vya muziki kutoka Magix Enga.

 

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey