Penzi la Rayvanny na Fahym laota mabawa
MSANII wa muziki wa Bongo Fleva kutoka katika lebo ya muziki iliyo chini ya Diamond Platnumz, WCB. Rayavnny amethibitisha kuachana na mama mtoto wake Fahym.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Ryvanny amepost meseji ambazo alichat na mama mtoto wake na kuandika hivi:-
“NIMEKUA NAKUHESHIMU MIAKA YOTE TULIOKUA PAMOJA KUNA MENGI TUMEKOSEANA NA TUMESAMEHEANA NA MOST OF THE TIME UMEKUA UKITAMANI MAISHA AMBAYO KILA SIKU NAKWAMBIA HAYATAKUSAIDIA …. NAKUHESHIMU NA NAISHEMU SANA FAMILIA YANGU …. IKIWA UMEAMUA MWENYEWE KUONDOA I WON’T BLAME YOU ….. STILL LOVE MY FAMILY …NAKUTAKIA MAISHA MEMA ????”
Toa Maoni Yako Hapa