Taylor Swift ashinda tuzo ya msanii bora wa karne, ‘American Music Awards (AMA)’
USIKU wa November 24 ulikuwa wa kukumbukwa kwa mastaa wa muziki nchini Marekani kwani tuzo za (American Music Awards) zilifanyika na kumshuhudia Taylor Swift akiondoka na tuzo 5 na kuweka rekodi ya kuwa msanii aliyeshinda tuzo nyingi za AMA’s kwa muda wote.
Hafla hiyo iliongozwa na Ciara. Hii ni Orodha ya baadhi ya washindi wa American Music Awards 2019.
ARTIST OF THE YEAR
Taylor Swift
NEW ARTIST OF THE YEAR
Billie Eilish
COLLABORATION OF THE YEAR
Shawn Mendes & Camila Cabello, “Señorita”
–
TOUR OF THE YEAR
BTS
FAVOURITE MUSIC VIDEO
Taylor Swift, “You Need to Calm Down”
–
FAVORITE SOCIAL ARTIST
BTS
FAVORITE MALE ARTIST – POP/ROCK
Khalid
FAVORITE FEMALE ARTIST – POP/ROCK
Taylor Swift
FAVORITE ALBUM – POP/ROCK
Taylor Swift
FAVORITE SONG – POP/ROCK
Halsey, “Without Me”
–
FAVORITE ARTIST – RAP/HIP-HOP
• Cardi B
FAVORITE ALBUM – RAP/HIP-HOP
Post Malone – Hollywood’s Bleeding
FAVORITE SONG – RAP/HIP-HOP
Lil Nas X ft. Billy Ray Cyrus, Old Town Road
FAVORITE MALE ARTIST – SOUL/R&B
Bruno Mars
FAVORITE FEMALE ARTIST – SOUL/R&B
Beyoncé