Sambaza

UNO ya Harmonize yarudi tena YouTube: Aliyeifuta atoa msamaha

 

MTAYARISHAJI wa muziki kutoka nchini Kenya Magix Enga ametangaza msamaha kwa msanii wa Bongo Fleva Harmonize

Siku chache zilizopita Mtayarishaji huyo aliwasilisha malalamiko yake kwenye Mtandao wa YouTube juu ya Beat ya wimbo wa Harmonize UNO kufanana na wimbo alioutayarisha DUNDAING ulioimbwa na msanii King Kaka

Baada ya kikao cha muda mrefu na mawakala wa YouTube Afrika Mashariki  Ngoma Magix Enga ametangaza msamaha kwa Harmonize na muda wowote ameahidi video ya wimbo huo utarudishwa YouTube

Magix Enga ameandika ‘With #CLEMO @Ngomma ??Growth of East African music is bigger than all of us. And for this reason i have decided that I will release my copyright strike on Uno by Harmonize. I have decided to forgive the guy?? Nitarudisha Uno by Harmoize Pale YouTube Wakati wowote’

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey