Sambaza

Drake na Kylie Jenner sio siri tena penzi lao lanukia

Drake na Kylie Jenner wana mahusiano ya zaidi ya Urafiki kwa kila mmoja. Mwezi uliopita iliripotiwa kwamba wawili hao wanatumia muda wao kwa kutoka pamoja tangu aweke wazi kutengana na Travis Scott.

Sasa mtandao wa Us Weekly umeripoti kwamba sasa ndio mambo yamekuwa moto na wote wanaoneshana hisia za mapenzi.

“Drake siku zote amekuwa na hisia kwa Kylie na ni kwa wote. Mitoko yao ya hapa na pale imeongezeka zaidi kwa siku za hivi karibuni kwa sababu Kylie tayari amejianika kama SINGLE! hivyo Ukaribu wao umeongezeka.” Kilisema chanzo hicho.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey