Sambaza

Aliyefuta wimbo wa Harmonize ‘UNO’ YouTube; akamatwa na Polisi

PRODUCER wa muziki kutoka nchini Kenya Magix Enga amekamatwa na Polisi usiku usiku wa jana, December 1,2019 nchini Kenya

Kwa mujibu wa mashuhuda Magix Enga amekamatwa kwa madai ya kufuta video ya Harmonize UNO kwenye mtandao wa YouTube

Magix Enga alifuta video ya Harmonize kwa madai ya mdundo wa wimbo huo kufanana na wimbo alioutayarisha DUNDAING alioimba msanii King Kaka .

24/7 #Tunakusanua Kinachoendelea Kwenye Ulimwengu Wa Burudani | Kutusikiliza au kupakua app ya radio Bonyeza Hapa http://bit.ly/_255GlobalRadio

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey