Sambaza

Baada ya Diamond kujaza maelfu Sierra Leone; Nahreel alia na wabongo

MTAYARISHAJI wa muziki na mwanamuziki Nahreel ametoa ya moyoni juu ya baadhi ya watu kuonekana kuwapinga wale wanaoweka juhudi kwenye kuipeperusha bendera ya Tanzania kwenye nyanja mbalimbali za michezo na burudani

Nahreel ameandika haya kupitia ukirasa wake wa Instagram ‘INGEKUA NI MSANII AMBAE SIO MTANZANIA HAPO, UNGESIKIA WASANII WABONGO MNAKWAMA WAPI? ILA KAFANYA @diamondplatnumz BASI ITS A DIFFERENT STORY, JUZI MWAKINYO (BOXER) KASHINDA TUNASEMA KABEBWA, @samagoal77 ASIPOIFUNGIA TAIFA MNASEMA SIO MZALENDO, WATANZANIA SISI SIJUI NI WATU WA AINA GANI, NDIO MAANA HATA JUZI KILICHOTOKEA KWENYE TAMASHA LA MSANII WA NJE WASANII WA NDANI TUKANYAMAZA #TUJIVUNIE ???’.

.
24/7 #Tunakusanua Kinachoendelea Kwenye Ulimwengu Wa Burudani | Kutusikiliza au kupakua app ya radio Bonyeza Hapa http://bit.ly/_255GlobalRadio

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey