Sambaza

Ni rasmi sasa Lil Wayne ameingia kwenye tasnia ya uuzaji Bangi

Siku ya Jumatatu (Desemba 2), Weezy kupitia akaunti yake ya Instagram alitangaza biashara yake mpya ya hivi karibuni na hiyo ikiwa ni Biashara ya Bangi. Akiungana na mastaa wengine kutoka Marekani waliowekeza kwenye Biashara ya kuzalisha na kuuza Bangi, Lil Wayne naye ameingia rasmi kwenye tasnia hiyo ambapo alitambulisha bidhaa yake mpya ya Bangi inayoitwa #GKUA Ulta Premium.

“NDIYO GKUA Ultra Premium @gkuaofficial #thatgkua #myweed,” Lil Wayne Aliandika katika mtandao wa Instagram.

 

View this post on Instagram

 

IT’S THAT GKUA Ultra Premium @gkuaofficial #thatgkua #myweed

A post shared by Lil Wayne (@liltunechi) on


“Nikitaka kuwa juu, navuta #GKUA kupata msukumo.” Alisema Lil Wayne kwenye uzinduzi wa bidhaa hiyo. “Nikiwa na GKUA, napata hisia nayopenda.”

Hii hapa orodha ya baadhi ya mastaa wengine wanofanya biashara hiyo kutoka Marekani

Wiz Khalifa – Khalifa Kush
The Game – Trees by Game
Snoop Dogg – Leefs by Snoop
Mike Tyson – Tyson Ranch
2 Chainz – Gas Cannabis Co. Products

24/7 #Tunakusanua Kinachoendelea Kwenye Ulimwengu Wa Burudani | Kutusikiliza au kupakua app ya radio Bonyeza Hapa http://bit.ly/_255GlobalRadio

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey