Sambaza

French Montana atangaza ujio wa Album yake mpya akiwa chumba cha wagonjwa

FRENCH  Montana bado yupo hospitali akipokea matibabu lakini hiyo haijamzuia asifanye kazi zake, ametangaza tarehe ya kuiachia album yake mpya.

Mkali huyo ambaye yupo chini ya Epic Records ametuweka wazi kuwa album hiyo Montana itatoka Ijumaa hii (Disemba 6), tamko hilo amelitoa akiwa katika chumba cha wagonjwa ambapo bado anaendelea kupokea matibabu tangu November 21.

 

24/7 #Tunakusanua Kinachoendelea Kwenye Ulimwengu Wa Burudani | Kutusikiliza au kupakua app ya radio Bonyeza Hapa http://bit.ly/_255GlobalRadio/

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey