Sambaza

Drake ndio msanii anayeongoza kwa muziki wake kusikilizwa zaidi duniani

DRAKE ndio mwanamuziki ambaye muziki wake umesikilizwa Zaidi duniani kuanzia mwaka 2010 mpaka sasa, hivyo kwa ujumla nyimbo zake zimesikilizwa mara bilioni 28.

Wakati Shape of you wimbo wa Ed Sheeran ndio wimbo uliosikilizwa Zaidi kuanzia 2010 mpaka sasa na kufikia Zaidi ya bilioni 2.4. Hii ni kwa kupitia mtandao wa Spotify
Mwanamuziki aliyesikilizwa Zaidi tangu 2010-2019
1. Drake
2. Ed Sheeran
3. Post Malone
4. Ariana Grande
5. Eminem

Wimbo uliosikilizwa Zaidi 2010-2019

1. Shape of you – Ed Sheeran
2. One Dance Drake alioshirikiana na Wizkid na Kyla
3. Rock Star – Post Malone

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey