Sambaza

MUDA WOWOTE KAA TAYARI KUIPOKEA KOLABO KATI YA DAVIDO NA CARDI B

DAVIDO anataka kuifufua “Fall” ya mwaka 2017, ni Remix ambayo amefanya na rapper toka Brooklyn Marekani Cardi B.


Kupitia instagram ya Cardi B, ameweka video akiwa kwenye Ndege binafsi akicheza wimbo wa “Fall” na kuandika kuwa anakuja Afrika.

Ngoma hiyo ya Davido ni miongoni mwa wimbo ambao umeingia kwenye rekodi ya muziki wake kwa kusumbua kwenye Chart za Marekani na Redio, pia hadi sasa ina Views milioni 151.

 

24/7 #Tunakusanua Kinachoendelea Kwenye Ulimwengu Wa Burudani | Kutusikiliza au kupakua app ya radio Bonyeza Hapa http://bit.ly/_255GlobalRadio

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey