Sambaza

Tanzia: Mdogo wa Kanumba, Seth Bosco Afariki Dunia

MDOGO wa marehemu Steven Kanumba, Seth Bosco amefariki usiku wa kuamkia leo Desemba 7, 2019, baada ya kuzidiwa akiwa nyumbani kwa Mama Kanumba, Kimara Temboni jjini Dar es Salaam alipokuwa akiuguzwa kwa muda sasa baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye uti wa mgongo kufuatia kupooza ghafla akiwa kanisani.

Abela ambaye ni dada wa Marehemu amethibitisha na kusema; “Mwili wa Seth kwa sasa umehifadhiwa katika Hispitali ya Taifa Muhimbili. Shughuli zote za mazishi zinafanyika hapa Kimara Temboni, nyumbani kwa mama Kanumba.”

 

Pumzika kwa amani Seth Bosco.

Interview ya Mwisho ya Seth Akisimulia Alivyopooza Ghafla

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey