Sambaza

ASAP Rocky azuiliwa kutoa mavazi kwa wafungwa nchini Sweden

RAPPER ASAP Rocky amenyimwa ruhusa ya kutoa mavazi na kutumbuiza kwa wafungwa wa Jela ambayo alifungwa nchini Sweden mwezi Julai mwaka huu.

Mwezi uliopita Rocky alisema ata-design mavazi kwa ajili ya wafungwa wa Jela hiyo. Kupitia twitter yake jana aliandika

“Even When I’m denied access to donate or perform for the inmates in Sweden I still want to raise awareness for the immigrants and poor people of outside surrounding areas, this has been a difficult journey, but I feel it’s my task to give back to people who supported me when I was down.”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey