Sambaza

Hiki ndio chanzo cha ugonjwa uliomkumba msanii French Montana ‘Adai alilishwa vitu vibaya,’

MSANII French Montana amezungumza kwa mara ya kwanza tangu atoke chumba cha wagonjwa mahututi ambapo alilazwa kwa wiki kadhaa kutokana na tatizo la Kiafya.

Sasa jana kwenye mahojiano Exclusive na DJ Akademics, Montana mwenye asili ya Morocco amesema anakumbuka alikula kitu kibaya alipokuja Afrika. Katika matembezi yake ndani ya nchi 4 za Afrika hakujizuia kula chochote kwani watu wengi anafahamiana nao.

Aliporudi Marekani aliangusha tena party kubwa la siku yake ya kuzaliwa, na pindi aliporejea nyumbani tu hali ilibadilika na kuanza kuona ‘mazonge’ baadaye alijikuta yupo chumba cha wagonjwa mahututi. 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey