Malkia Karen ajivunia kufananishwa na Lady Jaydee
Kutokea kwenye Industry ya Bongo Fleva moja ya vipaji vikali vinayotikisa muziki wa Bongo kwa sasa Malkia Karen, amefunguka kwenye Exclusive Interview aliyofanya na kipindi cha Bongo 255 kinachorusha na +255 Global Radio kuhusu wapenzi wa muziki kumfananisha uimbaji wake na msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva Lady Jaydee
“Lady Jaydee ni msanii mzuri na ni msanii mkubwa, ni inspiration ya msanii yoyote wa kike hata wa kiume pia, so sidhani kama ni kitu kibaya kabisa kufananishwa naye in fact i should be proud. Alisema Malkia Karen
Toa Maoni Yako Hapa