Sambaza

Tory Lanez ajipanga kuanika madudu ya Label yake ‘Interscope Records’

HUENDA ukawa unajiuliza Interscope Records imefanya kosa gani kwa Tory Lanez? ametangaza kuanika wazi madudu yao wanayoyafanya kwenye muziki. Hii ni kupitia instagram yake wikendi iliyopita.

 

View this post on Instagram

 

@interscope y’all play w me if u want to …. Let’s play … y’all got the right fucking one .

A post shared by torylanez (@torylanez) on


Tory alisaini na Interscope Records mwaka 2015 baada tu ya kuachia wimbo wake wa kwanza rasmi, Say It. Kwa sasa ndio wanaisimamia album yake mpya Chixtape 5.

Shabiki mmoja alimwambia anyamaze kimya la sivyo atauawa, Lanez alimjibu


“Huo ndio utofauti, mimi sijali. Utu wangu, heshima na mwanga ninao uonesha kwa kizazi kijacho baada yangu ni muhimu sana kuliko haya maisha ambayo watu wanaogopa kuyapoteza.”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey