Sambaza

King Kaka amekiri kutishiwa kuuawa kutokana na wimbo wake ‘Wajinga Nyinyi’

MWANAMUZIKI wa Kenya King Kaka (@thekingkaka) anataka ulinzi baada ya watu wasiojulikana kutoupokea vema wimbo wake mpya unaokemea maovu ikiwemo rushwa.

Mwishoni mwa wiki iliyopita alitoa video ya wimbo aliouita ‘Wajinga Nyinyi’, akikosoa maovu miongoni mwa jamii ya Wakenya.

Katika wimbo huo amewatuhumu wazi watu binafsi aliowataja majina moja kwa moja pamoja na wabunge na taasisi za umma kwa ufisadi uliokithiri huku akiwataka Wakenya kutafakari maovu hayo na kuyarekebisha.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey