Sambaza

Wack 100 apokea kipigo heavy kutoka kwa Bodyguard wa Nipsey Hussle

J. Roc, Rafiki wa karibu na pia Bodyguard wa marehemu rapper Nipsey Hussle hataki kabisa umseme vibaya Boss wake (Nipsey Hussle) aliyefariki March 31, mwaka huu kwa kupigwa risasi.

Utakumbuka October 21, Wack 100 aliibuka na kusema kuwa Rapper Nipsey sio Legend kama vile mitaa inavyojaribu kumpa heshima ya u-legend baada ya kifo chake, hakuwa na hits song redioni, na kuongeza kuwa hajawahi hata kusikia wimbo mmoja kutoka kwa msanii huyo .

Kauli hiyo iliibua hasira kwa J.Roc na hivi karibuni Jumapili Dec 15, mitaa ya Rolling Loud, Los Angeles. Inaripotiwa J. Roc alimpiga ngumi za uso Wack 100 na kuzua tafrani, huku Wack 100 naye akitaka kulipiza kisasi lakini hakufanikiwa kutokana na kuzuiliwa na walinzi kumfuata J. Roc.

Fahamu Wack 100 ni moja ya managers nguli wa muziki wa Hip-hop marekani , pia ni moja ya waanzilishi wa Cash Money Records West akishirikina na Birdman

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey