Sambaza

Jennifer Lopez adai wanaume wote hawana maana; Sababu hii hapa

Jennifer Lopez amesema wanaume wote ni hovyo tu na hawana maana mpaka wanapofikisha umri wa miaka 33. Lopez ambaye ni nyota wa filamu ya Hustlers amefunguka wakati akicheza game la Swipe Sessions la mtandao wa Tinder “Guys, until they’re 33, are really useless” amesema Lopez ambaye kwenye mahusiano yake amepitia kuolewa na wanaume watatu ambao wote ndoa zilivunjika na sasa yupo penzini na Alex Rodriguez.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey