R. Kelly aruka mashtaka ya kuhonga pesa kupata nyaraka feki za Aaliyah
MSANII R. Kelly amekana mashtaka kwa kusema hana hatia katika shauri la kuwahi kumuhonga mtumishi wa Serikali na kujipatia Utambulisho Feki wa Aaliyah na kufunga naye ndoa mwaka 1994. Kitambulisho hicho kilimtaja Aaliyah kuwa na umri wa miaka 18.
Jana Jumatano mwanasheria wa Kellz, Steven Greenberg alitoa utetezi huo kwenye mahakama ya mjini Brooklyn kwa niaba ya mteja wake.
Toa Maoni Yako Hapa