Sambaza

Collateral Damage –ya Burna Boy yashika namba 16 kwenye orodha ya ngoma 40 bora kutoka kwa JAY-Z

 

Sekunde, dakika, masaa, siku, wiki na miezi imepita toka tulipouanza mwaka 2019 na sasa tunaelekea kuumaliza mwaka huu na kuingia katika mwaka mwingine mpya wa 2020. Kadri siku zinavyozidi kusonga mbele mambo yanazidi kuwa makubwa na yakupendeza zaidi katika eneo la burudani.


Mwaka 2019 umekuwa ni mwaka mafanikio kwa wasanii wengi Duniani kote, kazi za sanaa zimekuwa zikichukua headlines kila kukicha na kukuza majina ya wasanii na kazi zao kutambulika zaidi kimataifa. Sasa Boss wa mtandao wa TIDAL, JAY-Z ameshea Playlist ya nyimbo 40 bora za hip-hop na RnB kwa mwaka 2019. Playlist hiyo imeachiliwa Exclusive kupitia mtandao wa TIDAL . Ikiongozwa na wimbo msanii DaBaby’s – INTRO . Huku African Giant ‘Burna Boy akiwa katika list hiyo na wimbo wake wa ‘Collateral Damage’ .  Pia ameutaja wimbo wa ALREADY wa Beyonce ambao amemshirikisha Mkali wa Nchini Ghana, Shatta Wale, Kwenye orodha hiyo pia kuna Ngoma ya Kanye West, J Cole, Da Baby, Nipsey na wengine

See JAY-Z’s Best of 2019 Playlist below.

1.“INTRO” – DaBaby
2. “Heart On Ice” – Rod Wave
3. “Money In The Grave” – Drake, Rick Ross
4. “Perfect Ten” – Mustard, Nipsey Hussle
5. “HIGHEST IN THE ROOM” – Travis Scott
6. “DR. BIRD’S” – Griselda
7. “Palmolive” – Freddie Gibbs, Madlib, Pusha T, Killer Mike
8. “Almeda” – Solange
9. “EARFQUAKE” – Tyler, The Creator
10. “Hot (feat. Gunna)” – Young Thug
11. “Woah” – Lil Baby
12. “The Box” – Roddy Ricch
13. “BEST ON EARTH (Bonus)” – Russ, Bia
14. “Binz” – Solange
15. “Suge” – DaBaby
16. “Collateral Damage” – Burna Boy
17. “Toast” – Koffee
18. “ALREADY” – Beyonce, Shatta Wale, Major Lazer
19. “Gold Roses” – Rick Ross, Drake
20. “Lucha Bros – Westside Gunn, Curren$y, Benny The Butcher
21. “Here Now (Intro)” – Snoh Aalegra
22. “Playing Games (Extended Version)” – Summer Walker, Bryson Tiller
23. “Follow God” – Kanye West
24. “MIDDLE CHILD” – J. Cole
25. “Bailin’” – Mustard, Roddy Ricch
26. “Put a Date On It” – Yo Gotti, Lil Baby
27. “RICKY” – Denzel Curry
28. “Cash Shit (feat. DaBaby)” – Megan Thee Stallion
29. “Triggered (freestyle)” – Jhene Aiko
30. “Welcome To The Party” – Pop Smoke
31. “Big Drip” – Fivio Foreign
32. “F.N” – Lil Tjay
33. “Pop Out” – Polo G, Lil Tjay
34. “Trap” – SAINt JHN, Lil Baby
35. “Nobody’s Favorite” – Rick Ross, Gunplay
36. “Meet Again” – Maxo Kream
37. “Tito’s Back” – Conway, Westside Gunn, Benny The Butcher
38. “Saw” – Roc Marciano
39. “Lonely” – Youngboy Never Broke Again
40. “Child Satish” – Tee Grizzley

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey