Sambaza

Fat Joe aizungumzia bifu ya 50 Cent na Rick Ross ‘Inahitajika UN kuwapatanisha’

Kuna Bifu zingine huwezi kuzimaliza kutokana na Chuki inayokuwepo kwa wahusika. Hii ilimtokea Fat Joe ambaye alimaliza bifu yake na 50 Cent kwa kushikana mikono.

Baada ya hapo alikutana na Rozay na kujaribu kumshawishi amalizane na 50 Cent lakini haikuwezekana. Amesema kwa hatua waliofikia walihitaji mkutano mkubwa kama WA UN!!

“Hii haitaweza kumalizika, na hii sio nzuri kabisa. Siwezi kuimaliza hii bifu tena. Nafikiri itahitaji mkutano mkubwa kama wa UN. Kuna Bifu huwezi kuzimaliza.” Alisema Fat Joe kwenye mahojiano na DJ Whoo Kid.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey