Kwa makusudi kabisa; Rihanna agoma kuiachia ‘R9’ Album yake mpya ya tisa
Badgalriri (Rihanna) hataki kuiachia album yake mpya kwa makusudi tu, Usiku wa kuamkia leo Desemba 23, 2019 kupitia ukurasa wake wa instagram ameweka wazi kuhusu hilo.
Ameweka video ya Mbwa akicheza kwenye Boksi na kisha kuandika: “Mimi nikiisikiliza R9 mwenyewe na kugoma kuiachia.” ilisomeka Post hiyo ya Rihanna
Ni miaka minne sasa Rihanna hatajupatia album yoyote tangu ANTI ya mwaka 2016, R9 itakuwa album ya 9 kwa mwimbaji huyo.
Toa Maoni Yako Hapa