Sambaza

‘Culture III’ Album mpya ya Migos kutoka rasmi 2020 Quavo athibitisha

Quavo atudokeza kuhusu ujio wa album ya Migos, Culture III. Kwenye mahojiano na Business Insider, Quavo amesema Migos wataachia album mwaka 2020.

Amesema itakuwa ni album nzuri sana na ni Migos ambao wengi hatujawajua bado. Aliongeza kuwa hana uhakika kama itaitwa Culture III kwani inaweza kubadilishwa.


“I’m excited about the Migos project. We dropping that next year. We haven’t had anything out since “Pure Water.” Haven’t had anything out but “Pure Water.” I feel like it’s more about Migos that y’all don’t know yet. And I feel like this album is going to be prolific. I feel like this album is going to be the album to do it. And I think it’s “Culture III,” but I don’t know. I think we may change the chapter.” Alisema Quavo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey