Sambaza

Dr. Dre ndio msanii aliyetengeneza mkwanja mrefu zaidi kwa kipindi cha Miaka 10

Jarida la Forbes hutoa orodha ya mastaa wa Muziki, michezo na filamu ambao wameingiza mkwanja mrefu kwa kipindi fulani.

Jana wameachia orodha ya wanamuziki ambao wameingiza mkwanja mrefu zaidi katika kipindi cha miaka 10 yaani Muongo (2009-2019)

Mtayarishaji mkongwe Dr. Dre ametajwa kuwa kinara kwa kuongoza orodha hiyo akiingiza kiasi cha ($950M) sawa na Trilioni 2.1 za Kitanzania katika kipindi cha miaka 10.

Bila kufanya ziara yoyote ya muziki katika kipindi hicho, Asante kwa mauzo ya headphones zake ‘Beats By Dre’ kwa kampuni ya Apple ambapo alilipwa kiasi cha ($3 Billion) sawa na Trilioni 6.8 za Kitanzania.

HII HAPA ORODHA KAMILI

10. Lady Gaga, $500 million
9. Katy Perry, $530 million
8. Paul McCartney, $535 million
7. JAY-Z, $560 million
6. Elton John, $565 million

5. Diddy, $605 million
4. U2, $675 million
3. Beyoncé, $685 million
2. Taylor Swift, $825 million
1. Dr. Dre, $950 million

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey