Rayvanny asepa na kijiji Mbeya watu 50,000 wahudhuruia show yake wengine 5,000 washindwa kuingia
Siku ya jana Desemba 25, 2019 ilikua poa sana kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya Rayvanny kutokana na kufanikiwa kufanya show yake ya kwanza mkoani Mbeya toka asainiwe rasmi kufanya kazi na label maarufu ya muziki Tanzania WCB
Show hiyo iliyopewa jina la Vanny Home Coming ilijaza watu zaidi ya 50,000 ambao walifanikiwa kuingia ndani na wengine zaidi ya 5,000 walibaki nje ya uwanja huo wa Sokoine kwasababu ya kukosa nafasi
Katika show hiyo Rayvanny alisindikizwa na wasanii kibao kama Diamond Platnumz, Young Daresalama, Mkaliwenu Baddest47, S2kizzy, Amber Lulu na wengine kibao .
Toa Maoni Yako Hapa