Wizkid Atangaza Kufunga Ndoa Mwakani 2020
Mwaka 2020 huenda tukashuhudia ndoa za wanamuziki wengi sana katika bara la Africa, baada ya Davido kutangaza kufunga ndoa na mpenzi wake ifikapo mwakani, Mwanamuziki mwenzake kutoka nchini Nigeria Wizkid naye ametangaza kuwa mwakani anampango wa kuvuta jiko.
Kupitia akaunti yake ya Twitter msanii huyo ameandika ujumbe huo ambao umeonekana kupokelewa kwa furaha na mashabiki wake.
Toa Maoni Yako Hapa