Sambaza

Ed Sheeran Atangaza Tena Kupumzika Muziki Kwa Muda

Ed Sheeran ametangaza tena kuchukua mapumziko kwenye muziki. Desemba 24 kupitia Instagram yake ametoa taarifa hiyo rasmi. Hii ni baada ya kumaliza ziara yake kubwa na yenye mafaniko ‘Divide World Tour’ iliyoanza March mwaka 2017 na kumalizika Agosti 2019.

 

View this post on Instagram

 

Brb x

A post shared by Ed Sheeran (@teddysphotos) on


Mapumziko ya Sheeran yanahusisha pia kuwa mbali na mitandao yake yote ya Kijamii. Mwimbaji huyo raia wa Uingereza alianza utaratibu huu Disemba 13, 2015 baada ya kuwa kwenye muziki kwa miaka 5 mfululizo na alirejea Disemba 13, 2016.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey