Sambaza

Halima Aden Aendelea Kung’ara Katika Tasnia Ya Mitindo Duniani

Halima Aden mwenye miaka 22 aendelea kung’ara katika tasnia ya mitindo duniani kwa kuwa mwanamitindo wa kwanza mweusi na anayevaa hijab kuwekwa katika uso wa jarida la Essence nchini Marekani.

Hii si mara ya kwanza kwa Halima ambaye ni mzaliwa wa Kenya mwenye Uraia wa Somalia na Marekani kwani mapema mwaka huu aliweka historia baada ya kutokea kwenye jarida la michezo “sports Illustrated Swimsuit issue” akiwa amevalia Hijab na nguo za kuogelea zilizo msitiri.

HalimaAden

Halima alitangaza taarifa ya kutokea katika Jarida la Essence kupitia mtandao wake wa twitter na Instagram

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey