Sambaza

Athari Za Vifo Kutokana na Dawa Za Kulevya, Vic Mensa Awapa Lawama Watu Hawa

Siku 28 tangu kifo cha rapper Juice WRLD ambaye alifariki kutokana na madawa ya kulevya, nani wa kumfunga paka kengele? Rapper Vic Mensa ameibuka na kumfinya mchawi.

Ameiambia TMZ kuwa HIP HOP pamoja na wasanii wote wa muziki huo wamechangia. Akimaanisha kuwa muziki huo kwa muda sasa umekuwa ukihamasisha matumizi ya madawa hayo kwa kusifia kupitia mistari ya nyimbo. Hii inapelekea walaji wa muziki huo ambao wengi ni kundi la vijana kuamini na kuathirika kwa asilimia kubwa.

“I think as members of the hip-hop community, we need to take responsibility for the things that we say. We need to recognize that the shit that we talk about influences children and so when we steady pushin a message of lean and Percocets and Xans, we are polluting the minds of the youth. We have a responsibility to give it to em’ in a real way.” Alisema Vic ambaye aliwahi kuwa mrahibu wa madawa hayo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey