Future Kidogo Amchape Ngumi Shabiki Wa Muziki Nchini Nigeria
Rapper Future kidogo amchape konde shabiki mmoja ambaye alimvamia stejini wakati akitumbuiza Jijini Lagos Nigeria jana Jumapili. Baada ya kumuona, aljizuia na kuwaachia kazi hiyo walinzi wake.
Future kidogo amchape ngumi shabiki mmoja ambaye alimvamia stejini wakati akitumbuiza Jijini Lagos Nigeria jana Jumapili. Baada ya kumuona, alijizuia na kuwaachia kazi hiyo walinzi wake. pic.twitter.com/mYyeH7Y4pX
— 255 Global Radio (@255globalradio) December 30, 2019
Hii ilikuwa show yake “Future Live in Concert” ambayo iliunguruma katika ukumbi wa Eko Convention Center.
Toa Maoni Yako Hapa