Sambaza

Juicy J Aomba Radhi Kwa Yeyote Ambaye Anahisi Alimshawishi Kutumia Dawa Za Kulevya

Rapper Juicy J ameomba radhi kwa kila mmoja ambaye anahisi kwa kupitia nyimbo zake alimshawishi kutumia dawa za kulevya.

Hii imekuja baada ya rapper Vic Mensa kuwatupia lawama wasanii wa Hip Hop kwa nyimbo zao kuchangia katika kuharibika kwa vijana wengi na kutumbukia kwenye kadhia ya utumizi wa dawa za kulevya.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey