Sambaza

Meek Mill Ajiondoa Instagram Kwa Muda Kisa Mjadala Huu

Trending news kwa sasa ni kuhusu tetesi za rapa Meek Mill kudaiwa kupata mtoto na anayedaiwa kuwa mpenzi wake Milano japo wawili hao wamekuwa wakikana kuwa sio wapenzi zaidi ni urafiki tu.

Kitendo hicho cha watu kuendelea kumsumbua kutaka kujua kama ni kweli wawili hao wamepata mtoto kimemfanya hadi Meek Mill kuondoa akaunti yake ya instagram kwa muda na kuhamia Twitter ambako huko ameandika ujumbe unaosemeka kuwa “Kweli ni Mtoto wangu”

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey