Sambaza

Mke Wa Kevin Hart Afunguka Ilivyokuwa Baada Ya Kuona Sex Tape Ya Mume Wake 

Mke wa mchekeshaji maarufu duniani Kevin Hart, Eniko Hart amefunguka baada ya video ya mkanda wa ngono ya mume wake iliyosambaa mtandaoni ikimuonyesha akifanya mapenzi na mwanamke mwingine.

Akizungumza kwenye Netflix Series ya maisha ya Kevin kwenye mtandao huo amesema kipindi video hiyo inavuja alikuwa na ujauzito na aliiona kupitia Dm ya mtandao wa Instagram amesema kilikuwa ni kipindi kigumu sana katika maisha yake japo hakutaka kukata tamaa kwa sababu aliiangalia zaidi familia yake na sasa furaha yake imerejea tena.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey