Sambaza

Juelz Santana Kuachiwa Huru Mapema Mwakani, Mke Wake Athibitisha

Rapper Juelz Santana alifungwa miezi 27 Jela mwezi March mwaka huu baada ya kukimbia uwanja wa ndege alipogundulika kuwa na silaha kwenye mizigo yake.

Sasa huwenda akaachiwa huru mapema na sio mwaka 2021 kama inavyosema hukumu yake. Mke wake, Kimbella ametudokeza kuwa Santana atakuwa huru mapema mwaka 2020, kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika na kuambatanisha na picha.


Kipindi anatumikia adhabu yake, rapper huyo hakuwepo wakati mkewe anajifungua mtoto wao wa tatu Santana James, na alipata kumtia machoni kwa mara ya kwanza siku 26 baada ya kuzaliwa.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey