Sambaza

Lil Wayne Huenda Akaumaliza Mwaka 2019 Vibaya

Ikiwa yamebaki masaa machache kuelekea kuumaliza mwaka 2019 taarifa ikufikie kuwa Rapper Lil Wayne huenda akaumaliza mwaka 2019 vibaya baada ya kukutwa akimiliki silaha kinyume na sheria, kufuatia uchunguzi uliofanywa na polisi katika ndege binafsi ya msanii huyo ambapo walibaini kuwa ndani ya ndege hiyo kulikuwa na silaha ambayo alikuwa akiimiliki kinyume na sheria lakini pia walikuta dawa za kulevya aina ya cocaine pamoja na bangi kitendo ambacho kinaweza kumpelekea msanii huyo kukumbana na adhabu kali yakisheria.

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey