Sambaza

REMA, BURNA BOY WAIBUKA KWENYE PLAYLIST YA OBAMA 2019

Rais mstaafu wa Marekani, Barack Obama ametoa list ya mikwaju yake pendwa na bora kwa mwaka 2019 huku wasanii kutoka nchini Nigeria Rema na Burna Boy wakitajwa kwenye list hiyo.

Huu umekuwa ni muendelezo mzuri kwa wasanii hawa wawili kutoka nchini Nigeria kwa mwaka 2019 mara baada ya Burna Boy kutangazwa kuwa nominated kwenye tuzo za Grammy miezi kadhaa iliyopita na Rema kutajwa kama msanii mchanga anayesikilizwa zaidi kutoka Africa

 

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey