Nandy Kuja Na EP Yake Mwaka 2020
Ukiwa ndio tumeuanza rasmi mwaka 2020 na kama ilivyo desturi ya watu wengi kila uanzapo mwaka mpya hupanga mipango ambayo wanatamani waikamilishe kwa mwaka unaoanza na kwa mwanadada Nandy ameshare mipango yake na mashabiki zake kupitia mtandao wake wa Instagram kwa kuwaambia. “2020 nategemea kutoa EP yangu na itakuwa kali sana ”
Toa Maoni Yako Hapa