Sambaza

Maneno Ya Diamond Platnumz Baada Ya Kupigiwa Simu Na Rais Magufuli

Msanii mkubwa wa muziki Tanzania, Diamond Platnumz amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Maguli kwa kuwajali wananchi wake hususan vijana na wanasanaa.

Diamond amesema hayo kufuatiwa kupigiwa simu na Rais Magufuli usiku wakati akitumbuiza katika tamasha la kuadhimisha miaka kumbukumbu ya miaka yake 10 tangu aanze muziki.

Amesema licha ya wingi na majukumu mazito aliyonayo lakini alitenga muda na kutazama onesho lake, suala ambalo linamfanya kuwa rais wa kipekee katika historia ya marais wa Tanzania.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Diamond ameandika: It was an absolute honor & great esteem to receive a call from our President Dr. John Pombe Magufuli, congratulating me on my work ethic whilst I was performing yesternight on my Home coming show in KIGOMA.

“Words simply can’t describe how grateful & blessed I am for that Mr. President….Thank you for being a great example and phenomenal Leader.

“Ni adimu sana kumpata rais ambae anaweza kujali wananchi wake, akawajali vijana, tena hususan kujali wanasanaa. Rais ambae licha ya wingi wa majukumu mazito aliyonayo lakini akatenga Muda kutazama onyesho lako, kama haitoshi, katikati ya show akakupigia na simu juu kukupongeza kwa kazi uifanyayo.”

“Lakini pia kuwasalimu na kuwatakia kheri watu waliohudhuria show hio. Ni jambo la kipekee na inataka rais mwenye roho ya kipekee sana, rais ambaye si mjivuni na mwenye upendo wa dhati kwa nchi na wananchi wake. Shukran sana sana Mh Rais. Daima Nitaendelea kujituma na kuipigania sanaa yetu ili izidi kuleta Sifa na heshima nchini lakini pia kuzalisha ajira zaidi kwa vijana wenzetu.”

 

View this post on Instagram

 

It was an absolute honor & great esteem to receive a call from our President Dr. John Pombe Magufuli, congratulating me on my work ethic whilst I was performing yesternight on my Home coming show in KIGOMA…. Words simply cant describe how grateful & blessed I am for that Mr. President….Thank you for being a great Example and phenomenal Leader ?????? …… (Ni adimu sana Kumpata Rais ambae anaweza jali wananchi wake, akawajali vijana, tena hususan kujali Wanasanaa…Rais ambae licha ya Wingi wa majukumu Mazito aliyonayo lakini akatenga Muda kutazama Onyesho lako…. kana haitoshi, katikati ya show akakupigia na simu juu kukupongeza kwa kazi uifanyayo.. lakini pia kuwasalimu na kuwatakia Kheri watu waliohudhuria show hio… Ni jambo la kipekee na inataka Rais mwenye Roho ya kipekee sana…Rais ambe si Mjivuni na mwenye Upendo wa dhati kwa Nchi na Wananchi wake….Shukran sana sana Mh Rais… Daima Nitaendelea kujituma na kuipigania sanaa yetu ili izidi kuleta Sifa na heshima Nchini lakini pia kuzalisha ajira zaidi kwa vijana wenzetu…..??) #SIMBA #SIMBAinKIGOMA #BABALAO #TukutaneKwenyeTreni #TwenzetuKIGOMA #Miaka10YaPlatnumz #10YearsOfDiamondPlatnumz #Wcb4Life #AfroBeats #Africa #Bongofleva #Tanzania.

A post shared by SIMBA..!? (@diamondplatnumz) on

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey