Ariana Grande Auanza Mwaka 2020 Kwa Shangwe
Ariana Grande mwanamuziki ambaye anafanya poa duniani ameuanza mwaka 2020 kwa tabasamu baada ya wimbo wake wa “7 Rings” kufanikiwa kusikilizwa mara billion 1 katika mtandao wa Spotify toka ulipoachiwa mwakajana 2019 na hivyo kuwa wimbo wake wa kwanza kupata mafanikio hayo katika maisha yake ya muziki.
Toa Maoni Yako Hapa