Sambaza

Big Sean Aomba Radhi Kwa Ukimya Wake, Aahidi Makubwa 2020

Matukio ya kimuziki yamekuwa machache sana katika mzunguko wa kila siku wa rapper Big Sean. Katika kipindi cha miaka mitatu amekuwa kimya sana na kinachovuma ni taarifa za penzi lake na Jhene Aiko.

Sasa kupitia ukurasa wake wa instagram kuingia mwaka 2020, Big Sean amewaomba radhi mashabiki zake kwa ukimya wake na kuahidi makubwa mwaka huu.

Mara ya mwisho kwa Big Sean kuachia album ilikuwa February 2017 ambapo aliiachia ‘I Decided’ na pia ‘Double or Nothing’ aliyoshirikiana na Metro Boomin iliyotoka December mwaka huo huo.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey