Sambaza

Burna Boy Adai Atamfukuza Kazi Mama Yake Akishindwa Kuupeleka Mbele Muziki Wake

Burna Boy hataki mchezo kabisa kwenye ishu ya kuupeleka mbele muziki wake, katika mahojiano yake na mtandao wa Rap radar amesema kuwa yeye lengo lake ni kufanikiwa zaidi katika muziki wake kwahiyo endapo akiona mambo hayaendi kama anavyotaka basi Mama yake ambaye ndiye kiongozi mkuu wa menejimenti yake anaweza kumfuta kazi na kumpa mtu mwingine mwenye maono makubwa zaidi.

” Mimi nataka kuona muziki wangu unasonga mbele zaidi nikiona mambo hayaendi naweza kumfuta kazi tu Mama yangu ambaye ndiye meneja wangu, lakini mpaka sasa Mama anafanya kazi kubwa sana hadi kufika hapa ni juhudi zake kwa asilimia kubwa”. Alisema Burna Boy

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey