Sambaza

Huu Ndio Mpango Mkubwa Wa Harmonize 2020

Baada ya kugawa dozi ya burudani kwa wakazi wa Tandahimba mkoani Mtwara kwenye mkesha wa mwaka mpya 2020, msanii wa muziki ambaye kwa sasa anafanya vizuri sana, Rajabu Abdul Kahali ‘Harmonize’ sasa jicho lake lipo 02 Arena London.

Harmonize amesema moja kati ya mipango yake ni kuijaza Arena hiyo yenye uwezo wakuchukua watu elfu 20 kwa wakati mmoja.

Meneja wa msanii huyo Mjerumani amesema huo ni mpango wa msanii wake lakini pia ndani ya mwaka huu huenda akaachia albamu yake ikiwa ni katika kuhakikisha anawapa mashabiki wake vitu vizuri.

Toa Maoni Yako Hapa
#TUMESTUKA #NAWESTUKA! Pakua App Ya >>>255 Global Radio, Bofya Hapa

spotiXtra

jerseys wholesale Danton Heinen Jersey